![Baba Hazai](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/08/99b83e4eddf246b5b9361440d05a71e9_464_464.jpg)
Baba Hazai Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Baba Hazai - Goodluck Gozbert
...
Kuna nyimbo nyingi nyingi,
umeimbwa mama mama,
Ila kunayonayo hii sikiliza halafu tena sikiliza ahobaoba,
aa sifa nyingi nyingiii umepewa sana mamaaa
Ila kunayo yakwanguu ya pekee eee
Siku uliyokwenda labour sikujua ulipambana na uhai wako na wanguuu
Marafiki walikuonaaa umetoka tuuu salama ila Kumbe ulipambana mamaa
Nakwanza pole na maneno ya manesi Polee na ile hofu ya mauchungu polee na maumivu ya tumbooo
Eee mama Polee na maumivu miezi tisa
Homa homa nakulazwa Polee shikamoo tena mama mwambie baba nimesema
Wababa hawazai wababa wanazalisha wajue na kuombea mama ubarikiwe x2
Ubarikiiiwe ubarikiwe x8
Wengine walikufaga siku wanajifungua watototo
Wengine walitupa watoto ugumu wa maisha
Umbo liliharibika na sijui ni lini utapona
Mama ulivurugika nizaliwe mimi jamani eee
Ninaiiimba nimetafakari mengi asiyekuheshimu mama anayo laana maandiko yanasema mtoto mpumbavu mzigo wa mama ooh malezi ni maama
Mtoto akiharibika najuwa lawana mzigo wa maaama ni kesi ya maama
Jaman acha nideke deeka
Japo ni mtu mzima deeka mama ninae mmoja deeka nawale walio kufa wapumzike salama
Mama tunakukumbuka ulizaa Jembe jembe
Kwanza Nakupa pole poleee na maneno ya manesi poleee ile Hofu ya mauchungu poleee na maumivu ya mgongooo
Eee mama poleee Hofu ya kukataliwa poleee ningefanana na nani poleee hata kama ni nyani ungenikubalia
Chorus.