
Ufalme Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Ufalme - AIC Chang'ombe Vijana Choir
...
Ufalme unatekwa na wenye nguvu,mambo yote yanatekwa na wenye nguvu. Tangu enzi zile za Yohana ? leo,oh unatekwa na wenye nguvu. Mbinguni hakutaingia vinyonge,wataingia wale wamchao Bwana.,wafanyao kazi ya Bwana Kwa nguvu zote,eee,kwa nguvu zote. Ufalme unatekwa na wenye nguvu,mambo yote yanatekwa na wenye nguvu. Tangu enzi zile za Yohana ? leo,oh unatekwa na wenye nguvu. Mbinguni hakutaingia vinyonge,wataingia wale wamchao Bwana.,wafanyao kazi ya Bwana Kwa nguvu zote,eee,kwa nguvu zote. Shetani ameiweka mizizi duniani,kaichafua dunia ?