
Jinsi Zilivyo Kuu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
damnlyrics.com
Jinsi Zilivyo Kuu
AIC Chang'ombe Vijana Choir
Jinsi zilivyo kuu tajiriba na hekima na maarifa ya Mungu, hukumu zake hazichunguziki wala hazitafutikani, maana ni nani aliyeijua njia ya Bwana,au ni nani aliyekuwa mshauri wake Mungu??
Nitayakumbuka matendo ya Bwana nami nitayakumbuka, maajabu yake ata leo (yoyoyo) aa.., pia nitaitafakari kazi yako yote nitaziwaza habari za matendo yako ee Mungu njia yako, nikatika utakatifu ni nani aliye Mungu mkuu, njooni sikieni nyote mnaomcha Mungu,nasi tutatangaza mambo yote,mpigieni Mungu kelele za changwe...
Nani aliye juu yake Bwana Mungu, matendo yake Mungu ni hajabu sana, mtukuzeni Mungu enyi mataifa yote, imbeni kwa furaha msifuni Mungu