Noel Ya Kwanza Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Noel Ya Kwanza - Nandy
...
Naliona tumaini, ni usiku wa furaha
Kazaliwa mwokozi, ni usiku wa furaha
Nuru ikwake, kavishika vyote
Kuzaliwa kwake, utukufu kwetu
Noel×3
Nafsi yake inaishi
Na mwangaza wake
Wa angaza duniani, utukufu kwake
Kwetu ni neema, katupenda kweli
Hatuasia mema, usiku na mchana
Noel×3