![Champion ft. Mucho Flow, Cham Music & Stan Rhymes](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/08/4ebd749fd80b41128b676fd491503a66_464_464.jpg)
Champion ft. Mucho Flow, Cham Music & Stan Rhymes Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeeh Yeeeh Yeeyee
Uuuh Yess, I’m a champion
Magoli nkitupia ni ushindi
Ndoto ikitimia ni ushindi (Yeess Am a Champion)
Malengo yakitimia ni ushindi
Shuleni nikitusua ni ushindi ( Uuuh Yess am a champion)
Champion*4 Yess
Champiooon*2
Verse 1:
Yeaah Njombe town finest…………yeeaaah
Hakuna kukata tamaa hata kama ulishindana ukashindwa/
We ni champion Na umeumbwa kushinda/
Usipagawe ukipingwa piga moyo konde Ile kibingwa/
Mungu Na Malaika wanakulinda/
Unapokataliwa haimaanishi kwamba huna thamani/
Thamani unayo sema hawajaiona songa Kwa imani/
Unamwona Majani ni legendary toka zamani/
Kasonga Na hii fani Na bongo records kwenye ramani/
Hasolin toka way back hakuna refa wa kunibeba/
Hakuna demu wa kunitega ushindi sio kipompelepa pa/
Sisimami hata nione zebra/
Hii ni conscious Kwa madogo mpaka brothers wenyewe/
Ukiona mishe haziendi unasimama unakwenda mwenyewe/
Mi Nina shida ziko nyingi Mara kumi ya wewe/
Mpaka naona at least ningeumbwa demu niolewe/
Utajaza mwenyewe A ama B B ama A/
Shida ninazopitia mngekuwa nyie mngesha run away/
Ila napambania kombe everyday/
Kwa kuwa nataka ushindi napambana anyway/
Uuuh Yess, I’m a champion
Magoli nkitupia ni ushindi
Ndoto ikitimia ni ushindi (Yeess Am a Champion)
Malengo yakitimia ni ushindi
Shuleni nikitusua ni ushindi ( Uuuh Yess am a champion)
Champion*4 Yess am a champion
Champiooon*2
Verse 2
Can you feel that
The bad news is we all born sinners
Habari nzuri ni kwamba we all born winners
Your time is now be a man john cena
You're up on the top acha wakujue jina
Be inspired
Let it burn see the fire
Wanyama wapo wengi, you are the winner be the lion
Dhahabu haiwezi ng'aa mpaka waichome moto
Never loose hope kamwe usihofie msoto
Hustle don't sleep we mpaka uione ndoto
Shine bright like a diamond, pause upigwe na photo
Dont panic
Ule ngada uwe drug addict
Na mi siamini kutoboa mpaka black magic
Tranna imagine vipi itakua they tranna predict
Taji kichwani kwako umeshinda we give you credit
Simama imara, uwezo mwingi akili kubwa and...
You be flying in the sky kama superman
Wanga nao wengi mwanangu utapigwa ndumba man
Ukishindana utashinda cause you're the man
My only wish to the star is to become one
But am not ready loosing myself just to be someone
Na nikifa before I get my shit done sitalalamika I got respect for the God's plan