Toa Tano ft. Whozu & Rosa Ree Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Aaah
Mwanangu nipe gwala tuenjoy maisha ndio haya (toa tano)
Ukiweza jumuika na sisi oya hatuna roho mbaya (nipe tano)
Usiweke kinyongo basi ata kama tumeshaachana (toa tano)
Na kama uliondoka nae ukafanya nae oya (nipe tano)
Iyo mipepe pepe kaleta mapepe mtoto kala mipepe hali yake tete
Tete tete mwendo wake tepe
Kakakutana na maseke yupo tepetepe
Sikia sooo yeyoo yeyooo (yeah man)
Sikia soo yeyoo yeyooo
Toa tano
Nipe tano
Toa tano
Nipe tano
Goddess
Kitu cha Arusha wahuni atuli moja moja (toa tano)
Paka puturu kwenye sita kwa sita akuna round moja (nipe tano)
Unajikuta boss bear za ofa utoe moja moja (toa tano)
Nipo na kikosi leta fujo ngumi sio moja kula tano
Chillin with ma dawgs everything we do we do like a boss
And you know wat we’re about if you fake then you finna get close
And you know I got network like antenna
D…..,
He say babe come through said I can’t tonight
Cause he ain’t classic he ain’t gidena
Tell everybody here this is my show
When you’re busy talkin shit I will be on tour
B**ch I am legend does that times four
Ukinipa tano me nakupa tano unidai
Usipo nipa tano sitokupa tano unidai
Ukinipa tano me nakupa tano unidai
Usipo nipa tano sitokupa tano unidai
Toa tano
Nipe tano
Toa tano
Nipe tano