![Nini Unataka ft. Stamina Shorwebwenzi & P1 Black](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/08/4ebd749fd80b41128b676fd491503a66_464_464.jpg)
Nini Unataka ft. Stamina Shorwebwenzi & P1 Black Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeaah
Drop the boom yooh
Mnataka watoto mnamitonyo?
Mkitaka michano njooni kwangu haina kikomo
Nachafua beat haipiti giki wala omo
Me ndo rapper wa gharama nae hit bila promo
Bila swaggz za ku-fake mambo yente
Tunafunika show mbele ya Ney alafu Manzese (eeh)
Wakulima ombeni mvua acha inyeshe
Me natafuta fuba mamtu ili home acheke
Wakipanda juu nawapandia songwe j
Bidhaa nimeiboresha cheki navyopanga bei
Wakitema yai nayapanga kwenye trey
Dimbani feysal salum ukiniona niite fey
Nini mnataka au niwavue kama papa
Hata nikiwa baba taitwa uncle kama ngasa
Flow za kitambo zina hit mpaka sasa
Wanashangaa panya road jinsi navuka mipaka
Mnataka mistari eeh nimefika punda milia
Hadi kwenye zebra navuka kwa kukimbia ( hee)
Mambo sio shega ila wahuni wanaaminia
Na kwenye show bila mega wahuni wanashangilia
Nini mnachotaka mazee nini mnataka?
Hapa ni shwari
Wala hakuna gozi mambo juu ya mstari
Ni dozi juu ya dozi mpaka aaaah
Nini mnachotaka mazee nini mnataka?
Hapa ni shwari
Wala hakuna gozi mambo juu ya mstari
Ni dozi juu ya dozi mpaka aaaahh
Yeaaah
P ngumbe
Mapimpi hawaesabiki full bring pande hizi
Money talks so vichwa panzi wote wamesha sizi
Drinks za ma-mills kidimbwi kwenye brizy
Huku beat inakubamba ma moe kwenye keys
Ma player haters my man na mashizi
Nina company ya machizi kiwasaa VIP
Wote siiiiii
Singara no tea
P1 Black niko place na mshorii
Sie hatu-dance hatu-shake tuna swing
Kama kweli una-feel njoo uji-mix pande hii
Kama noti inasema basi counter usihofie
Jiagizie jimiminie uwe bwax ile bwiii
What you get is what you see
Mzuka ndani ya club leo ladies free
Please ukiwa club sio sisi machizi watachukua kuanzia buti mpaka jeans
Uki-sizi sana usisizi sana
Wana wata-deal na paku ny**a
Nini mnachotaka mazee nini mnataka?
Hapa ni shwari
Wala hakuna gozi mambo juu ya mstari
Ni dozi juu ya dozi mpaka aaaah
Nini mnachotaka mazee nini mnataka?
Hapa ni shwari
Wala hakuna gozi mambo juu ya mstari
Ni dozi juu ya dozi mpaka aaaahh