![Napenda Money ft. Young Lunya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/08/4ebd749fd80b41128b676fd491503a66_464_464.jpg)
Napenda Money ft. Young Lunya Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Whooo!!
Siku hizi ukinisachi vibunda hukosi(oouuf)
Nimekua mnyama nimekua mkosi(oouuf)
Chapati nyingi haikai kwenye pochi
Oooh Oooh mulla pesa high speed chasers
Naipenda michezo ya pesa
Jasho na damu kwaajili pesa acha ni bleed
Kwanza na chochea moto sipunguzi speed
Got em b**s goin crazy utazani gigy (gigy money)
Pesa ndo sabuni ya kujigijigi
Sikia
waambie wenzako sisi huko tumeshavuka
Pande za mjengo kimeshanuka
Mpaka mapopo wamesanuka
Nyama ni nyingi kuliko bucha bucha)
Nikiweka vitu nafanya watoto wanang’ata kucha
Kipindi na murder cha ukucha
Nampenda penda nani pesa
Kademu flani pesa
Tukiwa ndani nachotaka kusikia ni story tu za pesa
Kama nilizaliwa kwenye pesa
Maana na nukia tu pesa pesa
Siwezi kuongea kama story unazozileta hazizungumzii pesa
Nakupenda nasifa nakupa
Achana na wale wasiopenda maendeleo yako
Mpenzi wangu
Gucci, Prada, Loui ( Loui Vutton)
Usiombe utoke na mimi utajua haujui
Bishia sindano ya chanjo nikuongeze ndui
No son sikai meza moja na adui
Paka na chui (never)
Kabati dogo MJ’s nyingi chezea pesa
Sie hatuwezegi kulala so tunakesha
Vitu ni vingi so tunashesha
Mvua ni chache so tunanyesha
Kaficha jamvi matokeo kachana mkeka
Hello girl hello darling
Muonekano wako unavyoonesha ni wa bei ya ghali
Kua na mimi nitakupa nyumba nitakupaga gari
Takupa na moyo hata usijali
Nampenda penda nani pesa
Kademu flani pesa
Tukiwa ndani nachotaka kusikia ni story tu za pesa
Kama nilizaliwa kwenye pesa
Maana na nukia tu pesa pesa
Siwezi kuongea kama story unazozileta hazizungumzii pesa