![Zee La Busara ft. Country Wizzy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/08/4ebd749fd80b41128b676fd491503a66_464_464.jpg)
Zee La Busara ft. Country Wizzy Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Zee Flan la busara
Zee flan la misala
Zee flan jomba siutani ukikutana nalo piga sala
na make money make dollar
Msela mavi simpi gwala
Zee kweli sio mikwara
Hatufanyi kazi za hasara
Hamjui hizi pesa tunapata kwa tabu
We Waulize wanaonijua ukinipiga kizinga utaishika adabu (paaw paaw anha)
We vipi mzee we vipi babu
Kaa kwa kutulia kaa kistaarabu
Ice on my neck (look at it) nashine mwili mzima dont look on my ris bro
Nahisi nshakua tajiri manigga najiona navoinunua pisto
Nimekua kauzu kweli kweli afu siku hizi sina roho ya kikristo
Money coming daily daily pesa za mziki na pesa za pingn pong
(Chorus)
Naitwa yeee
Mzee Wa busara
Incase you dont know now you know nigga
What my name
Incase you dont know now you know
Alafu siku hizi sibaatishi
Dem nikimlaga simbakishi
Mambo ya misosi nampa shishi
Na kipenda roho kaka ula nyama mbichi
So bro take it easy
Siunaona mwanaume niko busy
Alafu usije kichwa kichwa Gb yuko nyuma na kamati ya ulinzi
MIAKA Kumi kwenye Game mi B.I.G
Hot nigga in the game Call me G.I.G
Ukiskia niko club Niko V.I.P
Na nikiwa unyamani Mi Ni T.I.D
Na nimetupia Black Jeans.White tishert
Loui V siunajua nachoonge
Uku chini nimepiga dundo flani brother
Huwezi compare
Naitwaa yeee
(Chorus)
Naitwa yeee
Mzee Wa busara
Incase you dont know now you know nigga
What my name
Incase you dont know now you know