![BBM 2022 ft. Ngwair, Rapcha & Jay Melody](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/08/4ebd749fd80b41128b676fd491503a66_464_464.jpg)
BBM 2022 ft. Ngwair, Rapcha & Jay Melody Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Niko bored club, non alcoholic
Nikila pombe kitu gani am just a Roman Catholic
Bar Tender please nipe tripple J' n' tonic then
Nikapate kitu ya cronic (yep)
Dark Master toa bonge la pipe
Ileee two in one bob marley style (yeah)
Mtu mzima nkawa high n' high
Namchimba mtoto mkali bila chembe ya nishai
Nikaanza kumpa flows ka maji ya mto Nile
Kila dini nnalotupa mtoto ana smile
Na kwenye floor ananyonga ata zaidi ya python
Jeans mlege flani unaweza kuiona thong
Nikachukua video kwa my camera phone
Huku nkiwish kama nae angeniweka kwa ringtone (yeah)
Tukaji-mix wote ma friends na wake friends
Tukiendelea enjoy pamoja kama all friends
Aaah aaaah aaaaahh
Mtoto flani design kama mbwiga utaogopa
She is so fine
Mrembo flani kanyooka
Ananipa vitamu tamu viuno flani logomba
She is so fine
Mrembo flanii kanyokaaa
Aaaaaaaah
Aaaaaaah
Aaaaaaaah
Aaaah
Hey girl what’s poppin
Am blessed to meet you
Would you mind if I sit beside you
Too hot and am temp to touch
Na ume-dress poa lets make a tost for that
If you dont mind tutaongea kitu
Sijali ka’ una-mood swing
I can vibe with you
Taacha girls wote dar ubaki na me tu
Nakumiminia love sina trust issues
Mosimosi tungi baada ya masaa mawili
Tamgea cotton bags bills talipia
Bombadia inataka kuingia
Na iko hot sa sijui ka’ utaishikia au utaachia
Leo i just wanna treat you right
Babe can I take you to my crib tonight
Straight to my bedroom ***
we get high
Then turn off the light babe
Aaah aaaah aaaaahh
Mtoto flani design kama mbwiga utaogopa
She is so fine
Mrembo flani kanyooka
Ananipa vitamu tamu viuno flani logomba
She is so fine
Mrembo flanii kanyooka
Aaaaaaaah
Aaaaaaah
Aaaaah
Aaaaah
Yoo!!
With these two arms ma
I can build your world
You know I’m rude boy
And you’re nasty girl
So lets just stick together like pair of shoes
And stay forever and ever like skin tattoo
Yeaaah
Blown eyes long hair
Pink lips hips styel
You look more than fine
Chill babe usitoke kwa line
I wanna teach you mathematice 69
Nadhani unanielewa mmmh
Kama mapenzi nayajua me mtu mzima boo
Cz I used to be in love like a time with two
But I’ve never seen chicks so hot like you
Ah ah ah uko juu mammy
I wish club ingekua church tungeoana usiku huu
Kwani
Ku-meet na wee leo hii naona bahati
Yani huwezi amini mamaa am so happy
Na ningefurahi zaidi ungekubari kua mom
Fine
Okay okay fine
Me na wewe milele tu-shine
Hey waiter please bring some bottle of wine
Hallaaaa!!!
Aaah aaaah aaaaahh
Mtoto flani design kama mbwiga utaogopa
She is so fine
Mrembo flani kanyooka
Ananipa vitamu tamu viuno flani logomba
She is so fine
Mrembo flanii kanyokaaa
Aaaaaaaah
Aaaaaaah
Aaaaah