![Utajiju ft. MMS](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/08/4ebd749fd80b41128b676fd491503a66_464_464.jpg)
Utajiju ft. MMS Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Kutopenda maendeleo ya wenzio
Ni sawa na kukosa nidhamu kwa wenzio
Kujifanya unajua na kubisha wakati ukoo wote wanatega masikio
Nataka nikupe kitu ambacho ujawahi pewaga ujue
Tena bonge la kitu wenzako wanakosa ujue
Chini kabisa ya moyo nifukue fukue
Ini mkalia nyongo ujizike zuzu
Ulisema moko usijali nitakupa two times
Taratibu ukichoka twende halftime
League hainaga matuta si kushesha tusheshe
Touch your body like piano
Mpira pasi na kwenda na mpira goal
** nikakaa kinyago
Utajiju kama this love wanna make you feel surprise
Utajiju ukitoka shavu kwakupata kitu ujawahi
Utajiju utajiju (yeaah yeaah)
Utajiju utajiju (yeeah yeaah)
Utajiju utajiju
Utajiju utajiju
Yeaah yeah yeah yeaahh
Una utege
Jicho kama lazimika wanishawishi nikulenge
Sura kama mdori
Yani kabla sijakushika ushapandisha wenge
Lafuzi tamu sanaa
Babe come chop my banananaa
Hili penzi tamu bwana
Sh ngapi sema nikupe bugana (nanana)
Hello my dear mwenzako na roho ndogo
Achana na mapenzi ya kando
Wasikubambie sitaki ata kidogo
Maana me mwenzio bado
Utajiju kama this love wanna make you feel surprise
Utajiju ukitoka shavu kwakupata kitu ujawahi
Utajiju utajiju (yeaah yeaah Yeaah)
Utajiju utajiju (yeeah Yeaah Yeaah)
Utajiju utajiju
Utajiju utajiju