![Vile Nataka Demu ft. Mabantu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/08/4ebd749fd80b41128b676fd491503a66_464_464.jpg)
Vile Nataka Demu ft. Mabantu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Kama unataka demu
Je unataka aweje aweje
Ata ukienda out je atokeje tokeje
Marashi itakuaje anukiaje
Na mkienda club je atokeje
Moja la gamia shingo ngamia
Awe na guu la bia bongo mu-italia
Awe pisi kaliii fundi kitandani
Nimpeleke nyumbani sindo ajulikane
Kumanisha nini
Atuto achana tukihama afe nife sindo kuzikana
Ashike usukani atulie nyumbani
Ili asijulikane yani tuzaliane
Kifuani sio bembea kwanza ni dede
Cat walk akitembea ndani ki-kolea
Nyuma afungushe mbolea mi macho kama mkolea
Duuh
Kame bobea posa takatolea
Kama unataka demu
Je unataka aweje aweje
Ata ukienda out je atokeje tokeje
Marashi itakuaje anukiaje
Na mkienda club je atokeje
Je unataka aweje aweje
Je atokeje tokeje
Anukiajee
Hee
Atatoa dona ama sembe mtamu kama mtende
Wema ni mtende ata nyumba ni mjengee
Akiongea ana kithembee
*** iko dendee
Kokote twende asiote mapembee
Kunyumbulika kama jongoo kiuno kama mkongo
Yai kimombo vita-tattoo kwa mgongo
Tuwe wali na ndondoo
Sikinde na msondo
Radi na konde isiwe fifa na ndondo
Kifua ni