Unaweza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Unaweza - Joel Lwaga
...
Kyala kwa kumwanya,
Kyala gwe gwamaka,
Tubwakile eieeh,
(Unaweza×2, haujawahi kushindwa.)×2
Unaweza...........
Ndiwe uliye umba vyote,
Kwa uwezo wako,
Na kwa Neno lako,
Ndiwe unaevilinda kwa hiyo Neema yako,
Na Pendo lako ooh.×2
Yesu Unaweza......
Hakuna jambo ambalo ni gumu usilo liweza ×2
Baba unaponya,
Baba waokoa,
Unaganga mioyo yetu Baba,
Baba wabariki,
Baba wafariji,
Unaganga mioyo yetu Baba,
(Watufanya washindi,
Tunashinda katika wewe,
Unaganga mioyo yetu Baba)×2
Hey Unaweza...........
hata sasa Unaweza.....
Unaweza kuinua.......
END