Pendo Lako Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Pendo Lako - Joel Lwaga
...
Hee
(Ni nguvu yangu mimi )
Kutoka ule moyo uliovunjika vipande
Mmh huzuni, machozi, na kukatishwa tamaa
Sasa nakamilishwa, katika furaha ya pendo lako
Lililo kamili kwa kumtoa mwanao pekee
Pendo lisilo na kikomo, pendo lisilo na kipimo
Pendo lisilo na malipo ya nguvu zangu,
Umeziba ufa wa huzuni kwa saruji ya furaha
Acha nikuimbie wewe
Eeh eeh eh
Pendo lako eh
Furaha yangu eh
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh
Pendo lako eh
Furaha yangu eh
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh
Nilijaribu kwingine,
nilichoambulia Ni maumivu tuu
Upendo ule mwingine,
ni wa muda Na umejaa usaliti tu
Ukachukua mzigo wangu mzito
Na ukanipa wako mwepesi
Ukachukua nira yangu ngumu,
Na ukanipa yako laini
Pendo lisilo na kikomo
Pendo lisilo na kipimo
Pendo lisilo na malipo ya nguvu zangu
Umeziba ufa wa huzuni kwa saruji ya furaha aah
Acha nikuimbie wewe
Pendo lako eh (pendo lako)
Furaha yangu eh
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh
Say pendo lako
Pendo lako (pendo lako)
Furaha yangu eh (furaha yangu)
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh
Pendo lisilo na kikomo
Pendo lisilo na kipimo
Pendo lisilo na malipo ya nguvu zangu
Umeziba ufa wa huzuni kwa saruji ya furaha
Acha nikuimbie wewe
Eeh eh eh
Pendo lako (pendo lako)
Furaha yangu (furaha yangu)
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh (ni nguvu yangu)
Pendo lako eh (pendo lako)
Furaha yangu (furaha yako)
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh (ni nguvu yangu)
Eeh eh (Eh, eh)
Say eeh, eh (Eh, eh)
Eeh, eh (Eh, eh)
Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)
Everybody Eeh eh (Eh, eh)
Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)
Eeh eh (Eh, eh)
Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)
Say eeh, eh (Eh, eh)
Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)
*