Nafasi Nyingine Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nafasi Nyingine - Joel Lwaga
...
intro
mhhh mmh uuh
mmmhu uuh mhx2
Mavumbi umenifuta aah
yooote eeh,
Habari Umebadili
yooote eeh
Machozi Umenifuta
yooote eeh
Aibu Umeondoa
yooote eeh
mmmh
-Umeniita Mwana aaah
-niliyekuwa Mtumwa aah
-Umenisimamisha aah
-Katika Wingi Wa Neema aah
!Naa Umeniketisha aah
!