Wewe Ni Mwema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Wewe Ni Mwema - Joel Lwaga
...
....
Nikikaa nawaza ni mbali wewe Bwana ulikonitoa, ningekuwa wapi kama jicho lako Bwana lisinge niona, ulitazama unyonge wangu ukaja ukanitia nguvu, weee hiii
Nikikaa nawaza ni mbali wewe Bana uliponitoa. Ningekuwa wapi kama jicho lako Bwana lisinge niona, ulitazama unyonge wangu ukaja ukanitia nguvu
Bwana nakupa vyote, kila nilichonacho kwangu x4 (Bwana)
Wewe ni mwema, wewe ni mwema kwangu x4
..............?