
Yote Mema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Yote Mema - Joel Lwaga
...
eieeeeeee
mmmmmm
aaaaàaa mema *8
nirahisi kukusifu, wakati wa mazuri
ni rahisi kukushukuru, yanapotokea mema
ila ni ngumu kuamini, kuwa hata na magumu
nayo Mungu umeyaruhusu, kwakuniwazia mema
umerusu mazuri nifurahi, tena nikushukuru
na mabaya ili niwe hodari, na kisha nikusifu
mbele umeniwekea fahari, haya ni ya muda tu
macho yangu yatazama mbali, uliko utukufu.
yote mema*2
hata magumu, yanasababu
yote mema*2
sitalaumu, sitakufuru.
mmmmmmmh.
sasa nimejua kuwa, wewe uliyenipa samaki
ndiwe pia umetaka, wakati mwingine nipate nyoka.
tena nimejua kuwa, wewe ulienipa mkate
ndiwe pia umetaka, wakati mwingine nipate jiwe.
umerusu mazuri nifurahi, tena nikushukuru
na mabaya ili niwe hodari, na tena nikusifu
mbele umeniwekea fahari, haya ni ya muda tu
macho yangu yatazama mbali, uliko utukufu.
yote mema*2
hata magumu, yanasababu
yote mema*2
sitalaumu, sitakufuru.
aaààaaa
“instrumental”
nimejifunza kuwa na shibe tena
kuwa nacho, hata kutokuwa nacho
aaaa aa
najuaa
yote yanafanya kazi
ya kunipatia mema
yamefanyika kama ngazii
ya Mimi kupandaa
yote mema*2
hata magumu, yanasababu
yote mema*2
sitalaumu, sitakufuru.
yote mema*2
hata magumu, yanasababu
yote mema*2
sitalaumu, sitakufuru.
yote mema*2
hata magumu, yanasababu
yote mema*2
sitalaumu, sitakufuru.
mema*8