Mifupani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mifupani - Joel Lwaga
...
Unipaye afya mifupani mwangu ninakuamini, ninakuamini,
nimekujua na nimekuona,
ninakuamini, ninakuamini,
unipaye afya mifupani mwangu ninakuamini, ninakuamini
nimekujua na nimekuona ninakuamini, ninakuamini,
tumaini langu ni wewe tu, ni wewe tu,
msaada wangu ni wewe tu, ni wewe
kimbilio langu ni wewe tu,
Bwana ni wewe tu
Mungu wangu ni wewe tu, ni wewe tu
Unipaye afya mifupani mwangu ninakuamini, ninakuamini,
nimekujua na nimekuona, ninakuamini, ninakuamini,
tumaini langu ni wewe tu, ni wewe tu,
msaada wangu ni wewe tu,
ni wewe
kimbilio langu ni wewe tu,
Mungu wangu ni wewe tu,
japo machozi yanatiririka ila acha yatoke yasafishe macho
Ili nikuone wewe tu, wewe tu, wewe tu, nikuone wewe tu, nikujue wewe Zaidi,
kupitia haya Zaidi, nikujue wewe Zaidi,
Unipaye afya mifupani mwangu ninakuamini, ninakuamini,
nimekujua na nimekuona, ninakuamini, ninakuamini,
unipaye afya mifupani mwangu ninakuamini, ninakuamini
nimekujua na nimekuona ninakuamini, nlinakuamini,
msaada wangu ni wewe, ni wewe tu,
tumaini langu ni wewe
msaada wangu ni wewe tu
mfariji wangu ni wewe tu
kimbilio langu ni wewe tu,
tumaini langu ni wewe tu
nitakuona wewe tu
hata gizani nitakuona wewe tu
nimekujua, na nimekuona, nimekuamini