Sitaki Mapenzi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Sitaki Mapenzi - Nacha
...
..........
..........
.........
""It is Ghost Beats""
.........
.........
....A..A...
Nakumbuka nilikonda nikachoka nyaka nyakaa...
Moyo nikaudhoofisha kupenda nisipo takwaa... nlinyanyaswaa.
Nliburuzwa anavyotaka nikabaki na vidonda kama punda aliechapwa.
Nilikua ni mshamba auu, Au nilikua ni mtoto sana auu, (Au dharauuu).
Mwambieni mi sio type yake tenaaa, na tena akiniona atakosa la kusema.
Sikuizi mi nnavimbaa nnanenepa, sitaki kumuwaza mtu NAWAZA PESAA
Skuizi nnang'ara na ngozi inawaka Nikitaka chochote Sina gumu nnapata
Mwambieni mi ndo yule alieniacha, kaniacha nikapata, sa nnawaka haswaa.
kwanza ni kama ana nyota mbayaaa, maana toka alivoniacha nimekua sawaa.
Nnafanikiwa, kazi nimepata
Biashara hata faida napata.
Huoni hata picha zangu Insta** nlivokaa Kaa tuu ni kuchinjaa
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nataka niniii... (Pesaaaa)
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nawaza niniii... (Pesaaa)
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nataka niniii... (Pesaaaa)
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nawaza niniii... (Pesaaa)
Skuizi nnaishi Kwa hela zangu stegemei mtu.
Nikitaka bia nanunua staki mtuu.
Nimenunua simu Kwa hela zangu, kila kitu Kwa kifupi skuiz ni jasho langu.
Unamrusha rohoooo, kukicha atabakia Facebook kulike zangu picha.
Mapicha picha mapicha picha, Ma Ticktock bila ma filter...
Yani mpaka nnajishangaa, kwanini nmechelewa kustukaa?
""kumbe rough you""
Hivii nilikuaga wapiii....... Hakuna zile text Baby unarudi saa ngapi?
Saiv Niko happy na mabestee, mitungi yani weka tuwekee.
make hapo kwanza n'chekee
Ulidhani mi nitakua mpwekee.!?
PUMBAVUUU
Acha kunisumbuaa, na mwaka huu mbona utauguaa. (heheh)
Si ulisema Sina faida? sasa mbona unanitafuta? vip! umeniona faida?
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nataka niniii... (Pesaaaa)
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nawaza niniii... (Pesaaa)
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nnataka niniii... (Pesaaaa)
Sitaki tena mapenzi tena sitakii (sitakiii)
Nawaza niniii... (Pesaaa)
..................xxx...............
This Sound From Nyansubi
............
(Ndani ya mbanyu)
.......e,e, eeeh...
N. A. C. H. A.
(Nacha)
.......................
.......................