Fresh Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Fresh - Nacha
...
Fresh mitaa imenibless
Fresh mitaa imenibless
Mitaani nina majeshi
Hakuna wakulipress
Am the best
Fresh mitaa imenibless
Mitaani nina majeshi
Hakuna wakulipress
Am the best
If been a long time nacha sijafanya unyama kama hivi
Mitaa inanipenda bila picha la gigiy
Yaya yahabibi msuli na mkwiji
Nawachezesha samba kibrazil ka singida bigg
Mdomo mwingi kama mbwiga mbwiguke
Shombo kama tobias kifaru ligalambwike yani
Safisha njia (hakuna wakulipress am the best)
Wanangu huu mchezo siri naijua refa
Ukitaka siri ya kapombe kamuulize mama esther
Hainaa kucheka ni mautundu
Kisos kina asali alafui kinalambwa.....
Game ndo imefanya niwe nacha
Ila game isije fanya ukavuka mipaka
Ndo mana wanawaka
Dharau hapana kaka
Nikiamua kubadilika ni kama panya kaona paka
Tumetoka kwenye life lakinoma
Wahuni tukichoma
Police wakitimba mtaani inakua noma
Penat inakua kona
Tumepinda mpaka noma
Tushapataga gono ila hatujawah kipata ngoma (freesh)
Kaanzisha lebo kisha kafukuza wasanii
Kasaini msanii sa anamla msanii
Msaidizi wa mchungaji kala mke wa mchungaji kisha kaandika barua pole sana mchungaji
Kiwanda bila nacha ninyumba bila bati
Nikiandika unaweza hisi kaandika shabani robart
Ngoma zinafika unguja hadi chake chake
Bila kolabo ya wema,fireboy wala asake
(Fresh)
Niko busy kata simu niko site
Soda moja limao nyingi mixer ice
Naona mnataka chokochoko
Yani mnaulizia mashuti ya mbali kwa feitoto
(Fresh)
Na hii sio rap yakupimwa na watoto
Yakupendwa na wadau wanyoa kokoto
Yakupendwa na matozi wapenda slopdown
Je mnajiuza upate airforce na jordan
Mkimleta mzungu mleteni na mrwanda basi mkimsifia bangala msifieni na kiungo punda basi
Unga wamepandisha sukari wamepandisha
Watapandisha kila kitu hadi majini watapandisha yani (fresh)
Hii ni kitambo bila baba
Kitambo kabla ya majani ya chai jaba
Kitambo kabla nyie hamjakua
Kabla hamjui Mapenzi na utamu wakujichua
Kila nachomiliki nichangu shosti
Nyie mnavimba town na dinga za maboss
Watoto wauswazi uwa atuhudumii malaya (endeleeni kuishi wengi gheto moja kama kwaya)
Nikiacha kurap kelele kibao
Kelele nyingi kama alani kapiga bao
Jisachi pochi ka ulilala na barmed
Nakutia ufaham kama unajifanya crazy
Don't miss with nacha ma men
Nitawaacha na mashaka kama umekojoa ukweni
Maisha yako tetw hasikwambie bwana mkubwa
Kuipata mibika nadra ka kulipata fuba
Hayataki userious kuyaganda kama ruba
Mi napiga zangu wine huku nikienjoy buga
Ila baba levo mwijaku siitaji machawa
Ngoma zinavuma kila bar kila mgahawa
Nimekaa kitako muhuni napata gahawa
Nitawamwagia pombe mkizidi namwaga
Na nacha ndio rapa ambae nawafanyia mazishi kipaji ka kaobama afati dinshist
Nipo kila category mtashinda kipi
Mi nafasi yangu iko pale wala siitaji kiti
Yani ni fresh tu tena sio issue
Bando la wiki kujiunga kila siku
Hakuna sms ambayo inayokata kichizi ka umefikia asilimia 75 matumizi
Huwa nakaa kimya nikiona watoto wanabonga
Nawapiga takoring ka zainonga
Afu chumvi nawatia kwa kidonda kipindi mnaleta ubishi mtanikuta mi nasonga
Hii case closed
Na nacha mr blue wa mapozi (hehe tuliwaambia)
Ki mondo mbozi izi baz zinaover dozi
Sing alone now
Fresh mitaa imenibless
Mitaani nina majeshi
Hakuna wakulipress
Am the best
Fresh (mitaani nina majeshi)
Hakuna wakulipress
Am the best
Fresh mitaa imenibless
Mitaani nina majeshi
Hakuna wakulipress
Am the best