Naacha Mademu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Naacha Mademu - Nacha
...
Mademu
Sitaki madem
Mademu
Naacha mademu sio kwamba sio rijali
Mwenzenu nafirisika ni hatari
Napenda miliki mademu wengi ila tatizo chenji zinanitoka kishenzi
Juzi nilikua gheto na fisi
Mariamu akaniambia anataka chipsi
Na ngoni ilivyo na ibilisi
Nikamchomea chips kiwiksi na firigisi
Punde si ikaingia simu ya asha
Baby lile bando la wiki limekata
Alafu nimechoka samaki wala mwiba sitaki nataka mishikaki
Ni jana tu nikaenda chuo
Pale CBE nikapata baby ya kijaruo
Ile kuiomba promise lamada
Hey kanambia baby nilipie kwanza ada
Kazi yenyewe sina mimwenyewe mishentown
Alafu napenda madem wa mjini town
Wanachuna madem wanakata steam
Aah ndo mana hua naaamua sometimes nazima simu
Yule mala wigi tule mala vocha
Unadaiwa na mangi mwamtum alikopa
Dah madem wengi baba angu utaisoma
Ni sawa unamiliki kituo cha watt yatima
Mmh yani mademu wengi (madem)
Sitaki mademu
Yani mademu madem sitaki mademu
Mademu mademu mademu
Mademudemu mademu
Mademudemu mademu
Sitaki mademu
Eh pisi za chuga mpka zivute todi
Mi kichwa chapanzi bila zanzi ye hamnogi
Bila ubabe kwenye penzi ye haiwezi
Utasikia (aisee charii husiniletee udenzi)
Bwana mademu ya bongo nao wanalopoka
Mi ninakiswaswadu alafu kimechoka
Chenyewe sasa mpka utachoka
Baby ninunulie macho matatu yametoka
Ichi kitu nakataa mambo ya mzaamzaa
Kila nikimpigia simu ghafla anashikwa na njaa
Sijui yupi ananifaa mpka sasa nashaa
Ananiomba hela ya sadaka alafu namkuta bar
Hvi mademu nani aliearoga
Mnakopa nyinyi alafu tulipe vikoba
Nakausha husidhani mi nizoba
Unadai ume request alafu unapanda boda
Anakunywa bia anatoka mbio
Anakubip na ulituma salio
Naomba laki moja or nimeishiwa fagio
Nataka kwenda uturuk nikaongezee kalio
Yani madem wa mjini
Mademu
Sitaki madem
Yani mademu
Mademu
Sitaki mademu
Made made mademu
Madedede mademu
Sitaki mademu
Mademade mademu wengi
Mademade utapata magonjwa
Mademade shauri lako
Mademade ayaa mmh