Mama Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama - Nacha
...
Hello mama nimekumiss sana nimekumbuka Jana usiku sijalalala Hello mama najua unanisikia na zinakufikia salamu zangu umelala Mama Sina cha kurithi kwenye ridhiki nafitina hi ndo Dunia na watu no wasaliti marafiki