Kesho Yangu ft. Centana Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Kesho Yangu ft. Centana - Nacha
...
mungu baba unioshe na uovu wangu
sijui kesho yangu nitakase dhambi zangu
narudi tena kwako nimejua makosa yangu
nitazinena sifa zako kupitia kinywa changu
kwenye kitabu cha hukumu mungu futa jina langu
sijui kesho yangu karibu maishani mwangu
nipe moyo wa ibrahim wa utii na sadaka