Kitambi Cha Baba Remix ft. D Star Lyrics
- Genre:Traditional
- Year of Release:2022
Lyrics
Kitambi Cha Baba Remix ft. D Star - Nacha
...
Jamani anasura ya mama shepu ya mama kitambi ni cha baba
Wanangu anasura ya mama shepu ya mama kitambi ni cha babax2
Asa pisi kali gani
Ona we mchumba gani
Aah jamni ndo dem gani
Aah wanangu ndo danga gani
Jamani anasura ya mama shepu ya mama kitambi ni cha baba
Wanangu anasura ya mama shepu ya mama kitambi ni cha baba
Asa pisi kali gani
Ona we mchumba gani
Aaanh jamni ndo dem gani
Aaah wanangu ndo danga gani
Yes mlain kama tambi danga la kitaa kutwa nje kama jamvi
Frij haligandi kope kucha rangi
Muazima vijora wenzako sikuhzi hawadangi
Wewe kausha utakuja pakwa futa
Umepewa kalio mungu kitambi kakupa
Nyonyo utajuta utakuja kushuka
Umri umeshakwenda uko nyumbani pauka
Mmemuona masela mmemuona eeeh
Kanona kitambi shida noma huyoo
Kitambi cha baba mwanamke kahaba
Umri wake mdogo anabeba vibaba
Haba kweli na haba ujaza kibaba
Mkorogo umenoga kama ni duka mchaga
Pwapwapwa dadada kitambi cha baba
We dada unanata unagawa kashata
Mtungo ushapigwa wahuni washapakata
Kwa chips kidali ukipewa tu unanaswa eeh
Nacha ngoja kwanza
We nimchane wanangu nimchane (kausha)
Aanh nimchane masela nimchane (aaanh chana)
We nimchane jamani nimchane (kausha)
Aanh nimchane wanangu nimchane (aaah chana)
Ye sindo anajiona Queen mmh wamjini
Akatigheto kwake tu analala chini
Kwanza hana godoro
Makalioni kwake kuna kigodoro
Na maji anatumia kumbe ni ya kandoro
Ooh jamni ichooo mmekiona ichoo
We wanangu ichoooo mmekiona icho
Nasema icho icho kitambi cha baba mmekiona icho
Nasema icho icho kitambi cha baba mmekiona icho
Nasema masela wee we majita
We madada wee na masister
Nasema masela wee we majita
We madada wee na masister
Basi tena sijaona kitambi we shika kitambi
Aanh sijaona kitambi we shika kitambi
Twende sijaona kitambi we shika kitambi
Aanh sijaona kitambi we gusa kitambi