Simuachi ft. Mattan Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Simuachi ft. Mattan - Nacha
...
Uzuri wake kama kasusiwa
Ngozi laini amesakafiwa
Sio nje mpka ndani kajaaliwa
Ndo mana nampenda
Baby i need you by my side
Romantic bariki kama ice
Last night ulinitxt ukani invite
Birthday, party you my candlelight
Napenda unavyonipa tena wala huchoki
Mixer nifinyie ndani sichomoii
He with as take my heart
I can't explain is firestorm
So many girls ila kwako mie fall
Tena nimelewa kama umenipa alcohol
Lonely lonely upweke sa hakuna
Mattan anajua niko na bebe naukuna
Ona sasa ameniingia moyoni
Sitaki kumtema nimemzoea
Sasa ameniingia moyoni
Sitaki kumtema nimemzoea
Naanza nae mpaka mwisho
Naanza nae mpka mwisho
Naanza nae mpaka mwisho
Simuachi
Naanza nae mpaka mwisho
Naanza nae mpka mwisho
Naanza nae mpaka mwisho
Simuachi
You bad like mabogaboga
Analitupa akiwa anachuma mboga
Husiombe ile mikao ya boda akikaa kwenye kigoda am like ooh dada
Brown skin color
Nashiba ata sijala
Akinitxt najikuta nasend tu miamala
I love the way you liar
I love the way you are
Lipsbam mtoto Mashaallah
Nikiwa nimechill napata kahawa
Mtoto yuko mbichi anaweka mambo sawa
Kiuno na micheni mi ndo napagawa
Najikuta nishakula bila ata kunawa
Ona sasa ameniingia moyoni
Sitaki kumtema nimemzoea
Sasa ameniingia moyoni
Sitaki kumtema nimemzoea
Naanza nae mpaka mwisho
Naanza nae mpka mwisho
Naanza nae mpaka mwisho
Simuachi
Naanza nae mpaka mwisho
Naanza nae mpka mwisho
Naanza nae mpaka mwisho
Simuachi