Silali Njaa ft. Bright Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Silali Njaa ft. Bright - Nacha
...
kiri
bea
Nilishavunjuka moyo,nikaujenga
nikasema skati tamaa
ushaitwa mgumba ukacheka na mwisho ukazaa
binadamu wana visa kama bundi
unaweza kuogelea ukambiwa unatimua vumbii
silali njaa siijaja kushangaa hapana
sijaja kushangaa meli kuelea sindano kuzama
hii ndo dar bwana mtaramu ananishangaza sana
mchuzi wa pweza unavyopendwa bro kuliko nyama
mlinishauri bila