Spea Tairi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2009
Lyrics
Spea Tairi - Matonya
...
Najua nishachelewa kama kupenda umeshawahiwa nahisi kama ngekewa hadithi nzuri nasimuliwa kwel manani kaumba dunia kwa uwezo wa pekee kukupa maksi asili mia mia bado wap ww kwani lini honey utakuaja niamini ya kwamba kidole kimoja hakiwezi vunja chawa hasilani mm ukiniliam utanipa nguvu kubwa maishani kwani tonya ni tayari kuwa hata spear tairi