
Spea Tairi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Spea Tairi - Matonya
...
aaaah iiiiiih
Najua nishachelewa kama kupendwa umeshawahiwa
Nahisi kama ngekewa hadithi nzuri nasimuliwa
kweli manani ndaomba dunia kwa uwezo wa pekee
kupa maksi asilimia mia bada wa kiwewe
kwani nini honey utakuja niamini
ya kwamba kidole kimoja hakiwezi