Sugua Benchi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Sugua Benchi - Matonya
...
Sugua Benchi Lyrics
…
Mmmmmmmmmh mmmmmmh
Niliyatuma maombi na masifa kadhaa
Kuhusu kipaji nilichojaliwaa
Tena hodari me ni mfungaji bora
Kitaani kote wananiaminia
Kanipa usajili kwa kipaji changu nikachana namba one
Ooooh
Na tena nikaahidi kwenye mechi zangu goli nyingi tu nyavuni (mbona)
Kila siku tu nisubirie(mbona)
Sioni hata mabadiliko(mbona)
Kila siku tu nisubirie(mbona)
Sioni hata mabadiliko
Tambua kila siku unavyo nieka benchi kipaji changu kinashuka (kinashuka)
Ni Kama fedha inaishi ndani ya benki bila mipango itafutika(mbona)
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi(mbonaaa)
Nahisi mtihani ulonipa ntapata zero tena sio moja kabisa
Maana me hodari wa soka unanipanga mshabiki mbona unanshusha
Ni kama tu nina macho ila sioni
Ni kama nina masikio sisikii
Vurugu mechi uwanjani kote nyasi zitajuta ukiniipo
Maana mashuti yangu mi ni ya uhakika nacheza namba tajuta(mbona)
Kila siku tu nisubirie
Mbonaaa
Sioni hata mabadiliko
Mbonaa
Kila siku nisubirie
Mbonaaa
Sioni hata mabadiliko
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Umenisugua sugu
Sugua benchi
Unataka mbili moja nitakupa leo
Unataka mbili moja nitakupa leo
Unataka mbili moja nitakupa leo
Unataka mbili moja ntakupa leo
Unataka unataka(mi nazama kizimbani)
Unataka unataka hee(sema na mimi)
Unataka unataka(mmmmmmmhh)
Unataka unataka( basi sema na mimi)
Toni ya mbili
Kiraka juu ya kiraka
Kaa mbali moto ushawaka wewe niko na sir jay au sio
Paradeys wapi ka pasta
Mkali wao brani
Tumechafua wamesema watafua au sio
Kazi kazi
Aaaah
Rundumaa
Eeeeh
Wanaogopa kung’atwa na nyuki lakini wanapenda asali ukimwi unaua kaa mbali.
Derrick made it.