![Anitha ft. Lady Jaydee](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/0D/DB/rBEezlr3_ueAYVGgAADa1cB9Qe0572.jpg)
Anitha ft. Lady Jaydee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2008
Lyrics
Anitha ft. Lady Jaydee - Matonya
...
Anita, Anita wangu,
Hey lele lilei iyeeee iyee
Na sukuma sukuma, ili siku ziende
Urudi nyumbani tuishi pamoja
Nasikia mazoea yanatabu, leo ndio naamini
Tangu uondoke Anita raha nakosa mimi
Ukumbuka tulilishana yamini
Kwamba mimi na wewe
Maisha milele mpaka nafukiwa chini
Ni mawazo yanautesa moyo wangu Anita nielewe
Natamani uyajue ili unilinde mimi
Sijajua uliwaza nini Anita kuwa mbali na mimi
Hata hilo nilijue ili nisaishe mimi
Kama ni maradhi, mimi ndio wako nakitari
Unambie mapema ili dawa yake niijue
Kama ni waradhii iiiiiie Anita
Anita, Anita wangu,
Hey lele lilei iyeeee iyee
Na sukuma sukuma, ili siku ziende
Urudi nyumbani tuishi pamoja
Unajua nilikupendaa zaidi
Ila ya dunia we yalikuzidi
Nilitamani kuwa nawe zaidi
Kuliko yoyote unayemdhani
Siku zote uko safarini kuniacha mimi upweke
Mimi nilikupena sana we mpenzi
Je kweli wataka kunienzi
Au unataka kunitia mi mashakani
Siku zote nipo kama chizi, ni yangu njiani naongea
Hiyo yote sababu yako anita kilio pokea
Chifu na majirani mtani wanakuulizia
Sina la kuwajibu nabaki kama chizi najililia
Waliniambia nikuache wewe Ili mimi niishi mwenyewe
Masikio nikaziiba, vipi niishi bila wewe
Wakasema hutonisamini, wala haikuniingia akilini
Gozi, gita wakapiga jua wewe ndio wa maishani
Anita wewe umeumbika mama Kila upitapo yani nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga
Kwako taabani nimeshamwaga manyanga
Anita wewe umeumbika mama Kila upitapo yani nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga kwako taabani
Anita, Anita wangu,
Hey lele lilei iyeeee iyee
Na sukuma sukuma, ili siku ziende
Urudi nyumbani tuishi pamoja (×2 )
Pamoja...