
Jishaue ft. Tommy Flavour Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Jishaue ft. Tommy Flavour - Micky Singer
...
Thank you Lord, Thank you Lord,
Thank you Lord,
Kama uko single, uko peke ako hutaki ata mapenzi
Piga makofi piga, Piga makofi piga,
Ushalipa ada, hudaiwi vikoba, umelipa nyumba
Piga makofi piga, Piga makofi piga
Sahau madeni kwa mda jishaue
Mimina kidogo tungi jichachue
Hii siyo shida zako bhana jishaue
Shusha mizinga bata jitanue
(Amen)
Tuna uhai bhana (Amen)
Hatutumii cha mtu (Amen)
Kidogo chetu (Amen)
Amen
Tuna uhai bhana (Amen)
Hatutumii cha mtu (Amen)
Kidogo chetu (Amen)
Tunashukuru
Kama uko single, uko peke ako hutaki ata mapenzi
Piga makofi piga, Piga makofi piga,
Ushalipa ada, hudaiwi vikoba, umelipa nyumba
Piga makofi piga, Piga makofi piga
(Amen)
Jana nmeachwa tena (Amen)
Kisa afutatu (Amen)
Ninashukuru (Amen)
Asante sana
Nobody like you God
Mungu hatokei kijijini kwenu
Nobody like you God
Mungu hatoki e e ehh
Come on now, Thank you Lord
Thank you Lord, Thank you Lord,
(Amen)
Tuna uhai bhana (Amen)
Hatutumii cha mtu (Amen)
Kidogo chetu (Amen)
Tunashukuru (Amen)
Jana nmeachwa tena (Amen)
Kisa afutatu (Amen)
Ninashukuru (Amen)
Asante sana