Kwa Hapa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Kwa Hapa - Micky Singer
...
Aoh baby...aaoh
Ma bebe bebe (Tara tarara tarara)
Anavyonipenda kumchiti ni dhambi
Mwanzo niliteseka Mungu amejibu maombi
Baby ukinigusa hapa mwenzako ni natetemeka
Akizidisha kidogo namchora tattoo akisema aniache ntamvunja miguu
Niguse kwa hapa, kwa kwa kwa hapa
Baby niguse kwa hapa kwa kwa kwa hapa
If I got to choose ntakuchagua wewe
We ndo roho yangu malaika wewe
Nitakupenda, nitakutunza usiniache
Mapenzi ni kuvumiliana ni na wewe
Ukiniacha ukasusa unamuachia nani
Baby ukinigusa hapa mwenzako ni natetemeka
Akizidisha kidogo namchora tattoo akisema aniache ntamvunja miguu
Niguse kwa hapa, kwa kwa kwa hapa
Baby niguse kwa hapa kwa kwa kwa hapa