
Wanijue Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Wanijue - Micky Singer
...
sijui nkakope
au niibee
au nidange
au nijiue
yaani na mm ipo siku moja
nikipata pesa na me ninunue subwoofer
yaani na me ipo siku moja nitanunua hennessy na me niwalingishie chupa wanijue
wanitue
na me nitambe
nasema oooooh jama oooh×2
hizi pesa ztantoa roho×4
hua na waaaza mpaka napagawa
muda mwingine naugikiria uchawa
nawaza boss akinuna eti na me nnune
nawaza boss akicheka et na me ncheke
nawaza nende kidimbwi nipande juu ya meza
naagiza henessy nyingi nalewa naanza kucheza
yaani na mm ipo siku moja×2
nkipata pesa na me ninunue subwoofer yaan na me ipo siku moja nitanunua henessy na me niwalingishie chupa wanijue
wanitue
na me nitambee
nasema ooooh jama oooh×3
hizi pesa ztantoa roho×4