
Sura Yangu Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Sura Yangu - Micky Singer
...
Verse1
Nimekosa na Nnakiri, tumalize sisi wawili, labda lipo lingine siju.
Nateseka, siyo siri inanyonya mpaka mwili labda yupo mwengine sijui.
vipi ukisikia nimekufa utakujaa?!
ama utafurahi na mdomo utauvuta....
nilivyokusifiaa, siamini naumbukaa, machozi nalia ndani, moyo unavuja,
Bridge
Siulisemaa tuzikanee ona nafa mwenyewe, Tujh mein rab dikhta hai yaara mein kya karuuuu...
Chorus
Nitaificha wapi sura yangu..
Nitaeleza nini walimwengu
Nitamwambia nini mama yangu
Verse2
Katikati ya Jangwa, waninyang'anya Ngamia.
Moyo ukatangatanga, pumzi zakosea njia..
haukujali langu chozi, makaa ukapalilia aiyaa wee
ukaleta na pozi, vitimbwi kunifanyia..
hukuisha visababu, uwongo ukanipikia wewe na ukaona isiwe tabu, mbawa zako ukapepea.
Bridge
Siulisemaa tuzikanee Ona nafa mwenyewe, Tujh mein rab dikhta hai
Yaara mein kya karu
Repeat The Chorus