
Naroga Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Naroga - Micky Singer
...
………
Wakwanza mlimchukuaaa
Wapili mpenzi mkamrogaaa
Watatu mkampa maneno akaondokaa
Nasemaje huyu wasasa narogaa
Aki nasemaje mkichukua narogaaa*2
Mana najijua nguvu sina hatankipigana
Unanipigaa nasemaje huyu wasa naroga
Akii nasemaje mkichukua narogaaaa*2
Tena niwaambiee nishajipangaa nina mganga
Wangu maalum kutokea tangaaa
Tena niwaambieee tena niwaelezeee
Nasemaje huyu wasasa narogaaaa
Akiii nasemaje mkichukua narogaaa*2