Usinipite Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Usinipite - Goodluck Gozbert
...
Usinipite usinipite
Bwana naomba usinipite
Usinipite usinipite
Bwana naomba usinipite
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
....
Ooh ni maombi yangu
Ndio kiu yangu
Na ya moyo wangu
Usiniache
Kimbilio langu
Wewe mwanzo wangu
Tumaini langu usinipite
Unapopita unapogusa wengine
Nami nione usiniache
Unapopita unapogusa wengine
Nami nione usiniache
Kama ni kunibariki (Sawa Sawa Sawa)
Kama kuponywa (Sawa Sawa Sawa)
Kama ni kuniinua (Sawa Sawa Sawa)
Kama ni kunionya (Sawa Sawa Sawa)
Ila Ila
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
....
Nimeinua macho
Naona milima milima
Msaada wangu tu ni wewe
Muumba wa vyote eeh
Nimeinua macho
Naona milima milima
Msaada wangu tu ni wewe
Muumba wa vyote eeh
Kama ni kunibariki (Sawa Sawa Sawa)
Kama kuponywa (Sawa Sawa Sawa)
Kama ni kuniinua (Sawa Sawa Sawa)
Kama ni kunionya (Sawa Sawa Sawa)
Ila Ila
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
Nikitoa hesabu ya mema na mabaya
Wala sina adhabu iliyo njema
Kama ungehesabu matendo kwa tabia
Mimi ni mwenye dhambi machoni pako
Nikitoa hesabu ya mema na mabaya
Wala sina adhabu iliyo njema
Kama ungehesabu matendo kwa tabia
Mimi ni mwenye dhambi machoni pako
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
(Usinipite usinipite)
(Bwana naomba usinipite)
...Asante!!
Written by Justin.S