Yumo Chomboni Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Yumo Chomboni - Redemption Ministers
...
yumo chomboni
walifunga safari kuenda galilaya
mwokozi yesu na wanafunzi wake eeh
natuvuke mpaka ngambo ya ziwa aah
wakatweka matangaa aah
mle chomboni alimolala yesu
tufani kashuka ziwani
chombo kikajaa maji wakawa hatarini
kikasukwa sukwa wakajawa hofu
wakamuamusha mwokozi yesu
tunaangamia
yumo yumo yumo yumo mwokozi yumo chomboni eeeh eeeh eeh
amka sasa bwana okoa maisha yetu tunaangamia
wimbi latumeza chombo chazama baharini iiih
yesu kainuka kaikemea tufani pepo katulia
yumo yumo yumo yumo mwokozi yumo chomboni eeh eeh eeh

Nafsi yangu imezimia ndani yangu
lakini wimbo wa bwana itakua nami
maporomoko ya maji usiku mchana
bwana utaagiza fadili zako
ata maadui wanaponiandama bado utakua ngao yangu
nakutumaini mwokozi wangu
wewe tegemeo langu