![Je Umepata](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/14/f654fc98f0de49b585cbd2d94bc0ebde_464_464.jpg)
Je Umepata Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Je Umepata - Redemption Ministers
...
Je umepata kusikia habari za mji Yerusalemi,
Ni mji wa kutamanika unapendeza kweli unang'aa sana
Mji huo unang'aa ×3 kwa utukufu mwingi
hakika mji huo ni mzuri ajabu
wateule watakaribishwa na Bwana hakuna kinyonge tena Yerusalemi, ni furaha eh ni shangwe kwa walioshinda vita, vita vya ulimwengu watang'aa ng'aa kama nyota mji Yerusalemi kao zuri ×2
Watakatifu wataingia pale kwa shangwe teletele,
wataruka wakisifu wakishangilia furaha iloyoje ×2
Itakua ajabu, ajabu, ajabu... malaika watashangaa
wakifahamishwa hawa ndio washindi ×2