Kisha Nikaona Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Kisha Nikaona - Redemption Ministers
...
Kisha nikaona mji mtakatifu yerusalemu ukishuka kutoka mbinguni
ukiwa umeandaliwa kama bibi harusi aliyepambwa kwa bwana wake nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema tazama maskani ya mungu ni pamoja na wanadamu
atafuta machozi yao yote na kifo hakitakuwepo tena maana mambo yote ya awali hayayltakuwepo tena mji ule