![Furaha](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/14/f654fc98f0de49b585cbd2d94bc0ebde_464_464.jpg)
Furaha Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Furaha - Redemption Ministers
...
furaha isiyo na kifahani itajaa angani mfalme arudipo , mwenye dhambi akitubu dhambize akimrudia muumba wake shangwe shangwe vigelegele mbinguni akikaribishwa zizini mwa bwana tena yule aliyetengwa mbali na bwana amerudi nyumbani ×2
Tutakanyaga taratibu na mfalme akitukaribisha nyumbani mwake eeeeeh mji ulio pambwa vizuri eeehi mji unao metameta jerusalemi mji wa raha aaaa yerusalemi mji upendao wewe pale na mimi pale tujitahidi tusikosekane ×2 *3
Giza nene litanda kwote alipokata roho mfalme wa wafalme garama ya wokovu wetu hakika ikalipwa kwa damu yake mivinyo na nderemo mbinguni akatununua kwa damu yake yesu sote tulio stahili kifo haki tumeridi nyumbani .×2