Nina ujasiri Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Nina ujasiri - Redemption Ministers
...
Nina ujasiri kutangaza injili ya yesu aliyeangikwa msalabani, Imani na nguvu nitie bwana nisipotoshwe niweze dumu kwako agenda ya moyoni mwangu ni kutangaza neno lako ×2 . Kama mitume wa zamani bwana walivyochochea Imaniii nami nishike mkono bwana nidumu kwako siku zote. Tembea nami niongoze nipitapo bonde la kifo niinue jina lako gizani na niinue jina lako mwangani ajenda ya moyoni mwangu ni kutangaza neno lako ×2 Niliyoyahesabu kuwa ya gharama maishani mwangu yote ni ubatili hakika sitaionea haya injili ya yesu bwana wangu injili ya yesu hakika ni nguvu kwa wote wamchao×2 Kama mitume wa zamani bwana walivyochochea Imaniii nami nishike mkono bwana nidumu kwako siku zote. Tembea nami niongoze nipitapo bonde la kifo niinue jina lako gizani na niinue jina lako mwangani ajenda ya moyoni mwangu ni kutangaza neno lako ×2