- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Heri asiye fuata shauri la waovu,
Wasio shiriki njia za wenye dhambi,
Wala kujumuika na wenye dharau,
Bali Hufurahia sheria yake mungu,
Huyo ni kama mti kando ya kijito,
Unaoza matunda kwa wakati wake,
Na majani yake huwa hayanyauki,
Kila afanyalo hakika lafanikiwa.
Itakuwa furaha kwa waumini,
Waliofuata sheria yake mwenyezi mungu,
Nafsi zao,hazikushiba mzaha,
see lyrics >>Similar Songs
More from Roysambu Young Adults Choir
Listen to Roysambu Young Adults Choir Heri MP3 song. Heri song from album Tumaini Kuu is released in 2023. The duration of song is 00:04:28. The song is sung by Roysambu Young Adults Choir.
Related Tags: Heri, Heri song, Heri MP3 song, Heri MP3, download Heri song, Heri song, Tumaini Kuu Heri song, Heri song by Roysambu Young Adults Choir, Heri song download, download Heri MP3 song