![Chukua Udongo Tena](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/14/a2a3d4d1cfd147a19635088990789683_464_464.jpg)
Chukua Udongo Tena Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Chukua Udongo Tena - Redemption Ministers
...
…..
Chukua udongo tena udongo tena,
Bwana kama vile shambani Eden,
Tengeneza tope kama kwa kipofu,
Kaa ufinyange tena moyo wangu Bwana ah,
Kuta zilizobomoka simamisha tena,
Umba tena mawazo yangu Bwana,
Niwaze ya mbingu tu Ee Bwana,
Bwana finyanga umba tena kama zamanii.
Chukua udongo tena udongo tena,
Bwana kama vile shambani Eden,
Tengeneza tope kama kwa kipofu,
Kaa ufinyange tena moyo wangu Bwana ah,
Kuta zilizobomoka simamisha tena,
Umba tena mawazo yangu Bwana,
Niwaze ya mbingu tu Ee Bwana,
Bwana finyanga umba tena kama zamanii.
Nilipobomoka Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena,
Yachunguze mianya ya dhambi maishani Bwna uyazibe mie ni tope tu,
Nawe mfinyanzi nitengeneze tena upya geuza nia zangu,
Nianganze tena mwanga wa mbinguu kwa utukufu wako.

Mawazo na nia zangu na nia zangu,
Yamejengwa kwayo ya muda kitambo,
Yadumuyo kwangu kweli ni zogo tu,
Matarajio yangu ni kwa yasiyodumu uh,
Bwana uniwie tamu yale ya mbingu,
Nataka nionje utamu wa pendo,
Kisha nibariki kwa roda wangu,
Bwana finyanga umba tena kama zamani.

….