Hii Pain ft. Attu Medicine Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
P-Tah, yeah
Hii zone, hii zone, hii zone
Hii ni tear zone
Hapa Tapi anatake a seat, yeah
Right here
Every day niki rise up na feel wiser
Glad maisha haijaisha
But deep down kuna hii pain
Sijui vile naweza i-explain
Najua tu iko chini ya surface
Keep my mind busy kabla tears zi surface
Hii maisha si rahisi
But all see and say niko blessed
Siwezi complain
Juu complainers mi uwa nime wa disdain
But still niko tu stuck na hii pain
Imekwama nami ka stain
Nime try ku pray
Nika zi puff pass chain
Still ika stay same
Sahii my mind racing
Hoping sita go insane
Ku i-keep quiet na shika tei
Tears zina come spraying
Ku avoid vurugu na tenda wema kwa mandugu
Last last time nilichecki siz alikua 3
Last time kumcheki alikua karibu 23 ayiii
Hii yote for a degree bila any kushow ah
I cant let them run down my chicks
Najikaza nikijiambia mwana ume ua aliii
Auntie alinisho books dont kill nika tii
Little did I know hii itakua the last time nitamsee
Aha
Kufiwa na usifike mazishi, pain ukua haishi
That woman raised me
Na na hope uko juu alimeet na uncle
Mungu akawapa mahali pema wa kakaa
Gugaa yeah, bado niko
Blueprint niile yako bado ndio na fuata
Kavenge, uncle G, na Mumbua, mama Anne
Poleni sikuweza pay my last respects
In my heart mnaishi
Na sijado all na plan ku do
Niki do na omba nita wa impress
Hii pain inotoke kwa chest
Ka na feel like this it must be hard for them kids
I hope someday nita make their lives ikue rahisi
For now na feel vi hopeless
This ain't just music
Hii ni pain na spill from deep down
Hizi tears hakuna barriers
Ukuona nikilia usiwai dhani niko weak
Juu after hizi tears hakuna barriers siwezi penetrate
Juu wale na fightia ni wengi
Yeah, mm
Mmmm
Yeah, keep your loved ones close
Yeah, surround familia na love
Ahaa, nikawaida watu kutuwacha
Keep them in your thoughts
Through memories tuna wa keep alive
Yeah
Maisha mema
P-Tah signing out
Oooh
I keep on hustling
I keep on struggling
Cos it's my battle
Najua ipo siku moja tu
Nita win this battle
I keep on hustling
I keep on struggling
Cos it's my battle yeah
Najua ipo siku moja tu
Nita win this battle
Oh yeaaaah
Amini tu
Amini tu
God is there
Amini tu
Amini Tu
Mungu yupo na wewe