Lucky Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Lucky - Nacha
...
Ni nyasubi ndani ya mbanyo tena
So lucky I'm so lucky so lucky I'm sorry lucky
Mara nyingi kwenye hizi hasso
Kuna vigingi kwahiyo kua macho saka pesa saka kipato mchakamchaka everday yaani slow slow
Slowdown life is not easy hakuna upendo imetawala chuki siku hizi
Slowdown taratibu hizi ingawa kipato ni kidogo hakikidhi hata binadamu siyo watu wakuamini unaweza kuamini halafu akakurudisha chini
Sometime unakua na hate feeling stress nyingi haujui unashinda lini
Watu wanakesha wanalia mambo ni magumu wanafamilia mioyo ya wengi pia ishaumia kimbilio quran na bibilia
haso zile mateso na joto mixer na msoto nikasema na MUNGU atanibeba
Ndiyo maana siku zote mimi nina sema I'm so lucky,lucky,lucky nimebarikiwa I'm so lucky lucky lucky nimetunukiwa so lucky I'm so lucky so lucky i'm so lucky
I blessed hata mki hate ni baraka ndiyo zinafanya niwe hivi brother you get me MUNGU kabless me sifa na utukufu na jiamini
I'm so lucky hata kama humtaki kama una chuki una wivu broo kameze bati
Nikisubilia wema wako utaniua nikitegemea watu watanilarua
Nikitegemea watu watanikatisha tamaa kusda na chuki ndizo watu zimewajaa
Haso zile mateso na joto mixer na msoto nikasema na MUNGU atanibeba
Ndiyo maana siku zote mimi nina sema I'm so luck lucky lucky nimebarikiwa i'm so lucky lucky lucky nimetunikiwa
so lucky i'm so lucky so lucky i'm so lucky so lucky i'm so lucky so lucky i'm so lucky
So lucky nimebarikiwa i'm so lucky nimetunikiwa i'm so lucky i'm so lucky i'm so lucky so lucky i'm so lucky so lucky i'm so lucky
Writer by mimoboy