Majumba Watoto
- Genre:Gospel
- Year of Release:2005
Lyrics
Majumba Watoto - Kurasini SDA Choir
...
kamwe sitaacha kumtumikia nmeonabaraka zake amenifichia aibu yangu kati ya watesi wangu hata sasa sijapungukiwa mezani nabarikiwa ajua mavazi nivaayo viatu miguuni
majumba umeyatupa magari umeyatupa watoto umeshatupa halelujah twakusifu e bwana tubariki
dunia na vyote vilijazavyo vyote ni mali yyako bwana umekubali viwe vijuu yetu upendo wa jinsi gani kikombe changu kinakulika watesi wanishangaa umenikumbatia mkononi rahani napumzika
Similar Songs
More from Kurasini SDA Choir
Listen to Kurasini SDA Choir Majumba Watoto MP3 song. Majumba Watoto song from album Bado Kitambo is released in 2005. The duration of song is 00:02:59. The song is sung by Kurasini SDA Choir.
Related Tags: Majumba Watoto, Majumba Watoto song, Majumba Watoto MP3 song, Majumba Watoto MP3, download Majumba Watoto song, Majumba Watoto song, Bado Kitambo Majumba Watoto song, Majumba Watoto song by Kurasini SDA Choir, Majumba Watoto song download, download Majumba Watoto MP3 song