Kisa cha Musa
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Kisa cha Musa - Kurasini SDA Choir
...
umekwisha sikia kisa musa ,habari za daudi na kombeo kisa cha yusufu na ndoto zake, na yona ndani ya tumbo ya samaki pamoja na wengi wa siku za kale ninatamani kuonana nao kwauwezo wa bwana nitawaona siku ile ajapo
kutakuwa na mkutano juu angani bwana anaporudi tutakuna kule pamoja nyumbani juu angani tutaimba wimbo wa musa na mwanakondoo siku ile ya utukufu naye yesu atatuongoza tukikutana sote
mambo mengi yatakosekana pale hakutakuweko maombolezo hakuna tena wokovu kwa wadhambi wito wa yesu waliukataa hakuna huzuni hakuna upweke hakuna mizigo tena moyoni hayo yote bwana yesu atavuta siku ile ajapo
Similar Songs
More from Kurasini SDA Choir
Listen to Kurasini SDA Choir Kisa cha Musa MP3 song. Kisa cha Musa song from album Yesu Ni Msaada is released in 2016. The duration of song is 00:03:40. The song is sung by Kurasini SDA Choir.
Related Tags: Kisa cha Musa, Kisa cha Musa song, Kisa cha Musa MP3 song, Kisa cha Musa MP3, download Kisa cha Musa song, Kisa cha Musa song, Yesu Ni Msaada Kisa cha Musa song, Kisa cha Musa song by Kurasini SDA Choir, Kisa cha Musa song download, download Kisa cha Musa MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
official tancred
So amaizing