![Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/30/184029585ba0425da13899ff789bfc10_464_464.jpg)
Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mwana Wa Azali ft. Boaz Dunken & Tag Forest Ya Kwanza - Ambwene Mwasongwe
...
Wakaulizana mtu huyu ni nani
Jina lake nani na ametoka wapi
Wakashangaa vile anavyosema
Ni tofauti na viongozi wao
anamamlaka na nguvu ya asili
Je mtu huyu si mwana wa Yusufu
Hawakujua ametoka mbinguni
Huyu ni Mungu pamoja na wanadamu
(Ni Mwana wa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (katoka kwa Mungu)
Mwana wa Azali (Mungu kweli kweli kweli)
Mungu kweli kweli (anauwezo wote eh)
Yeye hana mwisho.
(Ni Mwana wa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (katoka kwa Mungu)
Mwana wa Azali (Yeye hajaua yeye)
Mungu kweli kweli (anauwezo wote eh)
Yeye hana mwisho.
------------"------------
-----------"------------
Akauliza ninyi mwanisemaje
Tofauti na watu wa nje
wakamjibu ya kwamba ni Kristo
Mpakwa mafuta wa Mungu mwenyewe
Akauliza ninyi mwanisemaje
Tofauti na watu wa nje
Wakamjibu ya kwamba ni Kristo
Mpakwa mafuta wa Mungu mwenyewe
Wewe hapo ni Mkuu kuliko Eliya
maana hauchomi watu
Unasamehe hata wale walio kukosea
kwasababu
Wewe ni Mungu.
Upo hapa Mkuu kuliko kiongozi Musa
Yule wa Torati
Mzigo wako ni mwepesi
Nira yako ni laini
unasamehe hata wenye dhambi.
Uko hapa Mkuu kuliko Samweli Nabii
Yule wa mafuta
Mafuta yako unapaka rohoni kwa Roho Mtakatifu
hupaki mwilini.
uko hapa Mkuu kuliko mfalume Daudi
Aliyekufa.
Ufalume wako hauzuiwi na muda na sehemu wadumu
hata milele.
(Ni Mwana wa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (ni Mwana wa Mungu)
Mwana wa Azali (Ni Mwana wa Mungu)
Mungu kweli kweli (ni Mwana wa Mungu)
Yeye hana mwisho.
(katoka kwa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (katoka kwa Mungu)
Mwana wa Azali (katoka kwa Mungu)
Mungu kweli kweli (katoka kwa Mungu)
Yeye Hana mwisho
(Ni Mungu mwenyewe)
Ni Mwana wa Mungu (Ni Mungu mwenyewe)
Mwana wa Azali (Ni Mungu mwenyewe)
Mungu kweli kweli (Ni Mungu mwenyewe)
Yeye Hana mwisho.
------------"------------
-----------"------------
Yeye hakuumbwa
Mwana wa Azali
Hana mwanzo Wala mwisho
Anazo funguo
Yeye ni njia ya kwenda Mbinguni.
Kama wewe unataka
kukutana na mbingu
muamini fungua moyo wako
Aingie anagonga atawale maisha yako
ni Bwana mwenye uweza.
Fungua fungua
fungua fungua
Fungua moyo wako
fungua fungua
fungua fungua
fungua moyo wako
fungua fungua
fungua fungua fungua moyo wako
fungua fungua
fungua fungua fungua moyo wako.
(Fungua moyo wako)
Fungua fungua(Fungua moyo)
fungua fungua (Fungua moyo)
Fungua moyo wako
(Fungua moyo wako)
fungua fungua (Fungua moyo)
fungua fungua (Fungua moyo)
fungua moyo wako.
Fungua moyo wako
(Fungua moyo wako)
fungua fungua (Fungua moyo)
fungua fungua (Fungua moyo)
fungua moyo wako.
Fungua moyo wako
(Fungua moyo wako)
fungua fungua (Fungua moyo)
fungua fungua (Fungua moyo)
fungua moyo wako.
(Ni Mwana wa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (Ni Mwana wa Mungu)
Mwana wa Azali (Ni Mwana wa Mungu)
Mungu kweli kweli (Ni Mwana wa Mungu)
Yeye hana mwisho.
(Ni Mwana wa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (katoka kwa Mungu)
Mwana wa Azali (katoka kwa Mungu)
Mungu kweli kweli (katoka kwa Mungu)
Yeye hana mwisho.
(Ni Mungu mwenyewe)
Ni Mwana wa Mungu (Ni Mungu mwenyewe)
Mwana wa Azali (Ni Mungu mwenyewe)
Mungu kweli kweli (Ni Mungu mwenyewe)
Yeye Hana mwisho.
***********
(Ni Mwana wa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (Ni Mwana wa Mungu)
Mwana wa Azali (Ni Mwana wa Mungu)
Mungu kweli kweli (Ni Mwana wa Mungu)
Yeye Hana mwisho.
(Ni Mungu mwenyewe)
Ni Mwana wa Mungu (Ni Mungu mwenyewe)
Mwana wa Azali (Ni Mungu mwenyewe)
Mungu kweli kweli (Ni Mungu mwenyewe)
Yeye Hana mwisho
(Katoka kwa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (katoka kwa Mungu)
Mwana wa Azali (katoka kwa Mungu)
Mungu kweli kweli (katoka kwa Mungu)
Yeye Hana mwisho.
(Ni Mungu mwenyewe)
Ni Mwana wa Mungu (Ni Mungu mwenyewe)
Mwana wa Azali (Ni Mungu mwenyewe)
Mungu kweli kweli (Ni Mungu mwenyewe)
Yeye Hana mwisho.
(Ni Mwana wa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (Ni Mwana wa Mungu)
Mwana wa Azali (Ni Mwana wa Mungu)
Mungu kweli kweli (Ni Mwana wa Mungu)
Yeye Hana mwisho.
(Katoka kwa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (Katoka kwa Mungu)
Mwana Azali (Katoka kwa Mungu)
Mungu kweli kweli (Katoka kwa Mungu)
Yeye Hana mwisho.
(Katoka kwa Mungu)
Ni Mwana wa Mungu (katoka kwa Mungu)
Mwana wa Azali (katoka kwa Mungu)
Mungu kweli kweli (katoka kwa Mungu)
Yeye Hana mwisho.
(Ni Mungu mwenyewe)
Ni Mwana wa Mungu (Ni Mungu mwenyewe)
Mwana wa Azali (Ni Mungu mwenyewe)
Mungu kweli kweli (Ni Mungu mwenyewe)
Yeye Hana mwisho.
-----------"------------
(Mwana wa Azali
Mungu kweli kweli
Yeye Hana mwisho.
Ni Mwana wa Mungu
Mwana wa Azali
Mungu kweli kweli Yeye Hana mwisho).