Karibu Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Karibu Yesu - Ambwene Mwasongwe
...
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu Bwana moyoni mwangu
Karibu Yesu useme nami
Moyo wangu unatamani, kusema na wewe
Karibu Bwana moyoni mwangu
Karibu Bwana
Karibu Yesu (karibu Yesu) moyoni mwangu
Karibu Bwana
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu
Karibu Yesu (karibu Yesu) moyoni mwangu
Karibu Bwana
Karibu Yesu moyoni mwangu
Moyo wangu ulikaribisha wageni Bwana
Sikujua nifanyeje, nao ooh
Nilikosa amani moyoni Bwana aah
Nilikosa msaada wowote mmh
Nimesikia habari zako bwana aah
Nakukaribisha moyoni mwangu eeh
Karibu Bwana moyoni mwangu
Karibu Bwana moyoni mwangu
Karibu Yesu moyoni mwangu
Karibu Bwana
Karibu Yesu (uje unitie moyo) moyoni mwangu
Karibu Bwana
Karibu Yesu (uje useme nami) moyoni mwangu
Karibu Bwana
Karibu Yesu (uje unifariji) moyoni mwangu
Haleluya
Eeh Bwana nimesikia habari zako uuh
Yakwamba u daktari wa mioyo
Eeh Bwana nimesikia ujumbe wako uuh
Yakwamba unaponya mioyo
Karibu kwangu uponye moyo
Karibu kwangu uponye moyo
Moyo una magonjwa ya kufisha
Nani aujuaye moyo, ni wewe peke yako Bwana uujuae moyo
Karibu Yesu (njoo kwangu) moyoni mwangu
Karibu Bwana
Karibu Yesu (njoo kwangu Bwana) moyoni mwangu
Wewe ni mwema
Karibu Yesu (utanitia nguvu) moyoni mwangu
Wewe ni mwema Baba
Karibu Yesu (utanifariji) moyoni mwangu
Karibu Bwana
Karibu Yesu (karibu Yesu) moyoni mwangu
Karibu Bwana
Karibu Yesu (karibu Bwana) moyoni mwangu
Karibu Yesu (karibu) moyoni mwangu
Karibu Yesu, useme nami
Karibu Yesu moyoni mwangu
Haleluya
Karibu Bwana useme nami
Nafsi yangu inakuonea shauku Bwana