
Natamani Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Natamani - Ambwene Mwasongwe
...
Natamani sana
Niwe kama bwana
mtumwema sana
aliyejikana
niwee mpole
Niache ya kale
Nitazame mbele
Daima milele
Niwemtiifu
Tena mwaminiifu
Mtakatifu
Asiyejisifu
Mnyenyekevu